Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Wewe huna Roho ya uvumilivu kabisa mkuu.....
Mimi mwenzako nilikuwa skauti tangu niko darasa la 4 mpaka namaliza kidato cha 6 na nilikuwa napenda sana kuwa skauti na darasani nilikuwa vizuri sana...
Ila katika uskauti wangu sitakaa nikasahau kambi ya KALANGASA huko SUMBAWANGA vijijini wakati huo niko kidato cha 5 pale KANTALAMBA BOYS na nilikuwa Troop Leader(TP) nakumbuka nimeandika barua kwa mkuu wa shule ya kuomba ruhusa ya siku 7 basi tukapewa ruhusa na share ya chakula kwa kila skauti.....
Basi nikaondoka na jeshi langu la vijana kama 25 hivi hapo najikuta mkuu wa majeshi flani hv na ukijumlisha zile gwanda na buti basi nikaona maisha nimeyamaliza maana skauti wote pale shule mimi ndiye nilikuwa mkubwa wao kwa maana hiyo kauli yangu ni amri na kama unavyojua skauti wanatii sana viongozi wao kuliko hata mwalimu 😄
Basi bwana tukaripot kambini hiyo siku nakumbuka ilikuwa mida ya jioni na kambi yyt pale sumbawanga bila vijana wa Kantalamba ilikuwa haijakamilika.....
To cut short the story ni kuwa ile depo ilikuwa na maajabu mengi sana hasa baada ya mmoja kati ya wanafunzi kutoka shule moja pale manispaa alikuwa mshirikina na alikuwa anawatesa sana wenzake nyakati za usiku🥺
Jamani uchawi upo mpk camp za jeshi ilikuwa ni kiangazi sasa siku moja tukiwa tumelala around saa 8 hv za usiku maana tulikuwa tunalala saa 6 usiku tukasikia filimbi kila mtu akatoka nje maana tulifundishwa kutii filimbi....kwenda kwenye pared hata viongozi nao wanashangaa waliokuwepo zamu ya ulinzi nao hawaelewi...ilitokea kama mara 3 hv....bado kulikuwa na mauza uza mengi sana yaani mpk mafunzo yanaisha daah tulikuwa hoi sana
Ila SUMBAWANGA 🙌💔
nimewahi pia kukabwa na wachawi camp X ya jeshi hukohuko rukwa nilipokuwa mujibu wa sheria
 
Hhhhh, Skauti Motto
 
Jw Usaili ln wakuu au mpka September na usaili wao unafanyiwa wap?
Swali Zuri sana usahili safari hii kwakuwa wanataka watu nyomi unaweza kuwa ni tofauti na usahiri wa siku zote nazani itakuwa dodoma afu watakao pita ndo utapangiwa kwa kwenda kam ni kihangaiko,orj au zenji. Ila sina uhakika japokuwa kuna Mkuu kasema ni Kihangaiko usahili ko Tusubiri tu.
 
Mi niliiskia ni dodoma lkn sina uhakika asilimia 100 tuvute subra tutajua tu
 
Na majina yatatoka lin
 
Saw mkuu na vp majina c yanaweza kutoka September maana nackia waliotuma wengi kinyama au process za kuchambua maombi zitakua fupi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…