Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hao ni baba kanituma hao waty na maelekezoAlafu kabla hatujaondoka wakaja watu toka mtaani nahisi ndio walijaza zile nafasi tuliotemwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni baba kanituma hao waty na maelekezoAlafu kabla hatujaondoka wakaja watu toka mtaani nahisi ndio walijaza zile nafasi tuliotemwa
Kasheshe wale jamaa😂Hao ni baba kanituma hao waty na maelekezo
Leo kesho useme nafasi iyo apo siwezi enda kamwe maana liletumaini nililokua Alo awali lishapoteaAlafu kabla hatujaondoka wakaja watu toka mtaani nahisi ndio walijaza zile nafasi tuliotemwa
Daah kaka alafu walitoka mtaani kabisa yaniHao ni baba kanituma hao waty na maelekezo
Amna nikujalibu tu huwezi jua ila izi za saivi nyingi unapataLeo kesho useme nafasi iyo apo siwezi enda kamwe maana liletumaini nililokua Alo awali lishapotea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimekulambaaa!! WoiiiiihLeo kesho useme nafasi iyo apo siwezi enda kamwe maana liletumaini nililokua Alo awali lishapotea
Watu wanawapiga filimbi mzeeDaah kaka alafu walitoka mtaani kabisa yani
Kweri hilo nimeona mana ata wenyewe wanakuambia kama huna mtu uwe na bahati sanaWatu wanawapiga filimbi mzee
Lazima ujitoe akiliKasheshe wale jamaa😂
Pole ndio ilivyo ivyo msata pale ndio usahili mgumu sanaDaah kaka alafu walitoka mtaani kabisa yani
Yani kuna jamaa walimwambia unadalili ya homa ya ini aliangua kilio😂Pole ndio ilivyo ivyo msata pale ndio usahili mgumu sana
Kwa apa dar nafikiri sitaweza kuweka usubutu kabisa maana saiv Hali ni tetePole ndio ilivyo ivyo msata pale ndio usahili mgumu sana
Alafu walivyokua wapuuzi wanakupa maneno yakukukatisha tamaa ili upate kisebusebu uanguke🤣Yani kuna jamaa walimwambia unadalili ya homa ya ini aliangua kilio😂
😂Alafu walivyokua wapuuzi wanakupa maneno yakukukatisha tamaa ili upate kisebusebu uanguke🤣
Labda mwaka huu watakua tofauti ngoja tuoneAlafu walivyokua wapuuzi wanakupa maneno yakukukatisha tamaa ili upate kisebusebu uanguke🤣
Mimi nishapitiriza age wanayoitaka hivyo sitaki tena ata ofa yaoLabda mwaka huu watakua tofauti ngoja tuone
Age sio shida kaka nani yupo nyuma yakoMimi nishapitiriza age wanayoitaka hivyo sitaki tena ata ofa yao
Ulikua huna mbanga mkuu?🥴Mimi nishapitiriza age wanayoitaka hivyo sitaki tena ata ofa yao
🤣🤣🤣Eeeh mwisho 24 sasa Nina 27 sasa sini age goUlikua huna mbanga mkuu?🥴