Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Rts kwanza wakimaliza hua wanapelekwa mgulani karibia wote baada ya hapo wanafanya masaliano wengine wanapelekwa nje ya nchi wengine TMA kusoma na hua ni miaka mitatu na kuendelea
Pia kma jna degree yko bas ni mwaka mmja tu.
 
Hapana nadhani wao ndo watatukuta tena tyr itakua ishapita six weeks maana hapo wao uhakika kuanza koz kwa nnavoujua hua ni January lkn sjui safari hii utaratibu utakuaje
Ndio mkuu huwa sana sana wanaanza January kufungua koz...maan hata hawa anaosema weanafanyiwa usahili Bado hawajamaliz miez 3 mujib huko Jax hapo labd kama watu wakianza kuitwa rts wata wa include tu mambo yasiwe mengi ila
 
Rts kwanza wakimaliza hua wanapelekwa mgulani karibia wote baada ya hapo wanafanya masaliano wengine wanapelekwa nje ya nchi wengine TMA kusoma na hua ni miaka mitatu na kuendelea
Nina mwana aliend nje misri 3 months akarudi yuko tma now anamalizia, afu nina mwngne yeye yuko urusi mwaka wa 4 huu, na inabdi akae miak 6, hpa sijui huwa wanaangalia nini mkuu?
 
Mbona uyu jamaa ni mfupi kwelikweli na baka kalivaa
 
Ndio ivyo yaani ukienda ww kuwa doja
[emoji23][emoji23]hii doja nakumbuka jkt ilikuwa ukikamatwa unapewa chakula kabla ya wenzio kifuatacho ni kula kazi kwenda mbele mwendo wa kukwepa ndege,vasco da gama,kubeba dunia mkiwa wengi mnapewa gogo mrukeruke nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…