Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kwahiyo sisi wenye 28-30 unatuambiaje..!? 😃
Tafuta mbanga wala usiangaike na kuchekecha miaka usisumbue vyeti kwani hamjui sheria ya Ajira Nchini?? Sheria haina limit ndogo kiasi icho mwisho kama sikosei 45years ndo mwisho wa kuajiriwa serikalini afu kumbukeni Kihangaiko ni kozi ya Ajira kwaiyo limit zimewekwa kupunguza tu watu
 
Kwamba kuna watu wanaamini, watoto wa viongozi wenye 30+, na hawakupita Jax wanaweza kuzuiwa kujiunga na Jeshi?
 
Back
Top Bottom