Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Wakuu mbanga imenambia tutegemee wiki inayoanza kesho majina kuitwa sasa sijui inanipanga tu
Inaweza kuwa ngoja tuone ila kuna mkufunzi yupo RTS aliniambia inatizamiwa kwanzia tareh moja,,, ngoja nikipatq wasaa wakumchek nitawasilisha mtizamo wake
 
Kwa taarifa nilizonazo ni kama za huyo mwamba hapo juu..

Maana nimeambiwa kozi itaanza katikati ya mwezi wa saba au mwezi wa nane. Ila kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa saba, wadau watakuwa kwenye UZALENDO..

Maana yake hapo, ndani ya wiki hii inayoanza kesho, ambayo ndo wiki ya mwisho ya mwezi wa sita, watu wataanza kupanda RTS ili mwezi wa saba wakawe wazalendo
 
Shukrani sana mkuu.. tuendelee kupeana update huku tukimuomba Mungu na sisi wa mtaani tukumbukwe
 
Mambow naona hata hayataki kuchangamka huku🙌
Ngoja nisubili July iingie nimuulize tena huyu kiumbe😂
 
Hii wiki ndo nlitegemea lonja ztakua za kumwaga lkn ni kunyume chake😬😬
 
Back
Top Bottom