Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Eleza kwa upana mkuu mi mwenyewe sjakuelewa
Huyo anaesema leo watu wanaapa ni vp sijaelewa maana nachojua Mimi waliokua rts Kihangahiko (msata) walishatoka mda tu hii inakatik wiki ya pili na mpka sasa nawaona wakishushwa (pass)kitaa na iveco zao
 
Mmmh mbn hyo taarifa mpya mkuu bado hawajaapa bhana
 
Rts hipi hiyo mzee maan Kihangahiko waliokuwepo washaondoka kwenda vikos walivyopangwa na hii wiki yaan j3 na Jana Iveco zina wa mwaga mtaa tu mda ukitimia wanageuka ....sasa hao wanao hapa ni wap?
Kaka nahisi unaongea usichokijua. Waliopo rts sasahv ni BMS na ndio ronja zinasema wanaapa leo na pia hao huwa hawapangiwi vikosi wao wakishaapa wanapelekwa TAU pale wanafanya usaili mwingine then wanaenda chuo Monduli kupiga bachelor of military science miaka mitatu.
 
Nd

Ndio maan nimekuuliza rts ipi?? Oljoro ama Kihangahiko
 
Upo sahihi kabisa mkuu ila wapo shule gani sasa msata au Oljoro?
Kaka nahisi unaongea usichokijua. Waliopo rts sasahv ni BMS na ndio ronja zinasema wanaapa leo na pia hao huwa hawapangiwi vikosi wao wakishaapa wanapelekwa TAU pale wanafanya usaili mwingine then wanaenda chuo Monduli kupiga bachelor of military science miaka mitatu.
 
Kaka nahisi unaongea usichokijua. Waliopo rts sasahv ni BMS na ndio ronja zinasema wanaapa leo na pia hao huwa hawapangiwi vikosi wao wakishaapa wanapelekwa TAU pale wanafanya usaili mwingine then wanaenda chuo Monduli kupiga bachelor of military science miaka mitatu
Nakazia📌📌
 
Labda ni hivo ila hii wiki watu walikua wanapewa pass hata hiyo jana walikuwepo mtaa hao form six waliokuwa RTS ila hili la leo kwamba wanaapa ndio imekuja kunishtua kidogo maan niliskia walishaondoka,,,,,, Kama unakumbuka hapo nyuma kuna jamaa alisema humu zilienda gari mbil za service man kutoka ruvu kufny usafi pale
 
unauhakika na unachokiongea? mana waliokuwepo RTS ni hawa vijana waliomaliza form 6 na ndio wanaapa leo msata.
Sawa mkuu vipi watu wanaanza kuingia lin hapo shuleni maana kama Kuna ratiba ya hafla hii bas hata kwenye ratiba hiyo itakuwepo pia au ndio siku/wiki/ isiyojulikana?
 
Kama hakutakuwa na AZIWEA, mwezi wa saba watakaobahatika watakuwa wakitumikia UZALENDO shuleni
 
Back
Top Bottom