Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Naona utatoroka wiki ya kutolewa urai wewe kule zoezi jepesi ni push up tu kuna mapenzi ya nyoka kutundika ni zoezi nalichukia zaidi na adhabu ya batakanya
Kuna ile sijui twende Cuba iyo nilikutana nayo Mujib wa sheria pamoja na kwamba scale yake ni ndogo lakin chozi lilikaribia kunitoka wale maservice man walitukomoa, Ile mapenzi ya nyoka nayo sio mchezo
 
Duh pole haya mambo bhna ww acha tu ukikaa ulafiliria wee unasema duh haina jins unafungua moyo
 
Me ndo maana nawaheshim sana nyie mliovaa maana nikisikia scale yenu ilivyo nikilinganisha na sisi tuliopita jkt mujib wa sheria nasema jeshi kugangamala, kuna copro mmoja hiv anaitwa Sese yule jamaa ni noma sana pia private anaitwa Aloyce aka Super Feo wale watu i salute them..
 
Sasa ivi Kuna private anaitwa jambia
 
Sasa ivi Kuna private anaitwa jambia
[emoji2][emoji2]jambia kuna chenja inaimbwa "mama mbuzi mee kamlilia mwanae" anaipenda kinoma ilikuwa zam yake sanasana weeknd ile usiku tunapiga na mandoo yetu yeye anafurah kinoma tena apo anatafuta kiti kabisa anakaa katikati ya kombania yetu D coy kimbembe asikie kuna afande anakuja upepo anaubadili sekunde tu.

Kuna day nilichelewa kunyoa nakumbuka ilikuwa jpili usiku baada ya chakula nikawa nanyoa asee sikuile sijui alivuta bangi za wapi alivyotukuta alitupiga doso mm na kinyozi wangu mixer kuroll uelekeo kule quarter za makoplo niliroll nakuja kuinuka kizunguzungu tu, ile siku nakumbuka aliekuja kutuokoa ni hodar koplo mmoja hiv mmama ndo alimsema sana Jambia ratio yako punguza mixer akaitwa hadi kwa Meja Dan akapewa onyo. Baada ya apo ikawa atleast
 
Uyo mmama si bibi mbuzi
 
Ahha sese wa 839kj?
Jerry Amuko Sese mtu mbaya sana
Akiwa nyumban n mpolee kichizi msabato 😂😂,, mkute kambin
Ogopa sana ukutane na huyu mtu mjaluo halafu msabato halafu NI Cpl😂😂😂😂😂😂
Sasa ivi Kuna private anaitwa jambia
Huyo yupo muda mefu sana hamjamkuta feo yule alikua ni Simba wa makuyuni
Uyo mmama si bibi mbuzi
😂😂😂😂 Wewe Mwachiluwi nakujua kabisa Op makao? ukaenda mbweni?
 
Jerry Amuko Sese mtu mbaya sana

Ogopa sana ukutane na huyu mtu mjaluo halafu msabato halafu NI Cpl😂😂😂😂😂😂

Huyo yupo muda mefu sana hamjamkuta feo yule alikua ni Simba wa makuyuni

😂😂😂😂 Wewe Mwachiluwi nakujua kabisa Op makao? ukaenda mbweni?
Ahahhahahahh Havana mkuu tulia
 
Back
Top Bottom