Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Leo nimezichapa na one star General mmoja ngumi za hatari

Binafsi nipende tu kusema awamu hii Mbanga zote zimeambiwa hakuna mtu asiye na vigezo atakaepenyezwa
Acha mbwembwe mkuu watu watazama chomboni Vizuri kabisa kigezo kikuu ni Uzalendo na nchi vyeti ni Zihada..
 
Mkuu kihangaiko raia watajazia au raia wote oljoro?
Mkuu nataka uamini kwenye haya majeshi yote iwe polis,magereza,uhamiaji,tpdf mnaaza depo mnafika miezi mitatu Kuna vijana mtawapokea haya maisha yetu ya kitanzania ni mipango tu kwa lazima wawepo tu
 
Back
Top Bottom