Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mmh
Toka yalivyotumwa maombi ni mwez wa 2 ko bhad unategemea kuitwa.....note ila kama mbaga yako ni maji marefu ngoja madog wa bms ila kama maji mafupi tusubil next annocemet✍️✍️
ndugu yangu usilolijua ni sawa na usiku wa giza….uyo unaemshauri nafikiri yeye ndo ilipaswa akushauri
 
Naomba kuuliza Kuna jiran yangu alikua jeshi mwaka mmoja wiki hii wamerud anasema et kaajiriwa tayar kapangiwa sehem ya kaz je Kuna ukwel kwamba walioingia mwaka Jana wameshaajiriwa??
 
Hapo ndo sielewi ila yupo jeshini wanavaa kijan mabaka
Inategemea utakuta kachaguliwa majeshi mengine kama uhamiaji kuna Tanapa au misitu

Possible inawezekana maana saizi kuna ajila za tawa, tfs na Tanapa watu wamepata kazi ila awajaenda kozi wapo nyumbani
 
Kaka RTs kihangaiko inahitajika waende 3500 afu RTs ya longido wanatakiwa zaidi ya 2500 na ushee, though huwa wanachukua jumla ya watu 5000 lakini this term wameongeza kwa sbb ya political agenda next year ni general election Nd maana wameongeza watu na sio Tu wizara ya ulinzi sector zote zinatakiwa kuajiri
Huyu jamaa ashazama chomboni siku nyingii
 
Back
Top Bottom