Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Wiki ya pili hii ya mkesha na vijana wengine wameshaaza kutoka nduki na matranka yao.vijana kazi ya jeshi inahitaji ujikane nafsi
Watu wanazitafuta izo nafas kwa udi na uvumba alaf mtu anakimbia anaacha chance hivihivi!!….yani kuvumilia tu uo mpelampela kwa miez6 mtu nayo inamshinda aisee
 
Vijana kaaeni tayari bog la orjolo lipo in this week watu wanaanza kuripot
 
Hahahah kwahyo jamaa kajiamulia zake tu aje kudanganya watafutaji humu!😄
Au sio ko unaijua ruti ya emba kasi, pale uwanja wa kitundu mti wa shetani farming kote uko umepiga ruti

Utamu wa uwanja wa damu

Unapajua TMA vizuri na utamu wake

Usilete habari za kupotosha umu.
h
 
Huu Uzi naupitaga tu. Leo nimeusoma.
Huyo unayesema anaropoka hata orjolo hapajui unamfahamu? 😂😂

Aliyekuquote hapa alikua team ya PT wavuvi haramu (RTS) 😊😊 intake ya 41 ilifanyika pale kukiwa na Vijana wa kujitolea Op mbili pamoja na Vijana wa Mujibu wa Sheria wakiwa na ratiba zao.
Nitafuta
😀😀😀😀😀😀😀
 
Vijana wa humu kwa lonja nilionayo ni kwamba kunauwezekano wa kuwepo kwa bogi la orjolo….vijana endeleeni kuongeza maombi huko…wale mlioomba maombi huu ndo wakati wenu mtaitwaa.
 
Vijana wa humu kwa lonja nilionayo ni kwamba kunauwezekano wa kuwepo kwa bogi la orjolo….vijana endeleeni kuongeza maombi huko…wale mlioomba maombi huu ndo wakati wenu mtaitwaa.
😂😂😂hii ni maajaBu...
 
Back
Top Bottom