Ni lini Kibaha ilitangazwa kuwa mji?

Ni lini Kibaha ilitangazwa kuwa mji?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Sijui niseme labda sina kumbukumbu au ni mimi tuu sielewi maana nimeenda ofisi moja kuchukua barua nimekuta juu kumeandika ofisi ya mkuu wa ......... "mji wa kibaha" sasa kidogo nimeshangaa naombeni mnitoe tongotongo wakuu.
 
Kibaha ni mji (T.C) na pia ndio mji mkuu wa mkoa wa Pwani
 
Back
Top Bottom