wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Jun 24, 2021 #1 Sijui niseme labda sina kumbukumbu au ni mimi tuu sielewi maana nimeenda ofisi moja kuchukua barua nimekuta juu kumeandika ofisi ya mkuu wa ......... "mji wa kibaha" sasa kidogo nimeshangaa naombeni mnitoe tongotongo wakuu.
Sijui niseme labda sina kumbukumbu au ni mimi tuu sielewi maana nimeenda ofisi moja kuchukua barua nimekuta juu kumeandika ofisi ya mkuu wa ......... "mji wa kibaha" sasa kidogo nimeshangaa naombeni mnitoe tongotongo wakuu.
evonik JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 3,996 Reaction score 5,156 Jun 24, 2021 #2 Kibaha ni mji (T.C) na pia ndio mji mkuu wa mkoa wa Pwani
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 35,012 Reaction score 70,201 Jun 24, 2021 #3 Kwani umekasirika?