Ni lini maandamano ya upinzani yaliruhusiwa?

Ni lini maandamano ya upinzani yaliruhusiwa?

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
2,428
Reaction score
3,937
Sekeseke la kisiasa limeanza kuibuka tena baada ya mikutano ya kisiasa ya hadhara kuruhusiwa. Moja ya mambo ambayo hayaepukiki katika siasa na ambayo ni mbinu nzuri ya uhamasishaji ni maandamano ya amani.

Ukiacha yale maandamano yanayoibukaga tu baada ya mkutano wa hadhara hasa kipindi cha uchaguzi ambayo mingi huwa inaishia kupigwa mabomu ya machozi, hivi kuna siku chama cha upinzani kiliwahi kutoa taarifa mapema ya kuandaa maandamano, halafu vyombo vya dola vikawapa ushirikiano?

Ningependa kujua.
 
Back
Top Bottom