Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Salaam!
Mashirika ya kiserikali ni taasisi zinazofanya kazi kwa uhuru kwenye baadhi ya mambo na pasipokuingiliwa kwa majukumu lakini kwa asilimia kubwa hizi taasisi zinakuwa monitored by Government Ministries (Single Tier),imekuwa ni kawaida kwa serikali kutenga kiasi cha fedha ili kuzipa taasisi hizi kwa lengo la kuboresha huduma kutokana na ufinyu wa bajeti.
Sitaki kujua ni kiasi gani kimeongezewa kwa shirika la ndege,Shirika la Posta au EWURA,Bodi ya MIkopo pamoja na Taasisi nyengine sitaki kujua ila nachotaka kujua WHY?
1,Serikali inaendelea kusalia na Bodi za hizi taasisi zinazotia hasara ikiwa wamebainisha mapungufu yao ya kiutendaji kwa kutokuipa taasisi ukwasi na badala yake wanaongeza hasara/hati chafu.
2,Kwanini serikali inapokea ripoti za ukaguzi bila ya kuchukua hatua stahiki kwa washukiwa wa ripoti hiyo.
3,Je ni taasisi zetu za elimu au watendaji au mfumo wa utendaji ni mbovu?na ikiwa moja wapo kuna athari why hakuna mikakati ya maboresho?Kwenye taasisi kuna afisa utumishi wapo kwa lengo gani?bodi ya wakurugenzi,Mameneja,Idara na Mawaziri wote hawa kwanini hawafanyi maboresho.
4,Kuna mkakati gani kama taifa kuondoa hizi chamoto?,Kwa kuanzisha chombo kipya au kuboresha sheria za ambazo zinajenga na kutoa uhuru na uwezo kwa vyombo vinavyohusika na ukaguzi viwezi kushitaki?.
5,Kwanini wabadhirifu wanahamishwa taasisi badala ya kuwafungulia kesi?
NJIA ZA KUTIBU TATIZO SIO KULIKIMBIA TATIZO ILA NI KUKABILIANA NALO VYOVYOTE ILA HATUWEZI KUFIKA LENGO IKIWA BADO SHERIA ZA MCHEZO HAZIELEWEKI,KATIBA NI JAMBO MUHIMU LITAKALOTUFIKISHA BADO BAADHI YA MIKATABA MUNAFICHA,MNAKOPA TAASISI ZENU ZA NDANI BILA YA KUWALIPA,TENDA MNAZITOA KWA UPENDELEO.
4,