Ni lini na sisi tutakusanya Marais wa ulaya au Amerika au Asia waje kwa pamoja tujadiliane fursa za kibiashara!?

Tukiacha wizi wa "KURA"
 
Lakini tunaambiwa china na Tanzania zimewahi kuwa sawa kwa mapato sasa na sisi ni lini?
Mkuu huwezi kuishi katika nadharia bali ishi katika uhalisia.
Kama ni historia wazungu walikuwa na Primitive Accumulation of Capital (PAC) sisi waafrika tuna hata historia ya upambanaji!?
 
Ni ngumu hilo kuwezekana hatufanani nao wale sio wenzetu kuanzia rangi n.k
Ni kweli hatufanani nao rangi,na wao hawafanani rangi na sisi,
So,hapo ulikua unataka kumaanisha nini Mkuu?

Huku kutokufanana nao rangi kunampa nani advantage kati yao na sisi kwa kutumia hiyo logic ya skin color?
 
Ni ngumu hilo kuwezekana hatufanani nao wale sio wenzetu kuanzia rangi n.k
Tena waje tuwapokee Airport kwenye YUTONG moja....wajue nasi tunazo fursa!
Afrika kuna rais mwenye uwezo wa kujenga hoja ya kusikiliza na mzungu??

Kama yule mwenye ushungi sijawahi kumsikia akiongea pointi (hoja kuntu) hata siku moja.
Uchumi uchumi uchumi, Elimu, Elimu, Elimu, akili, akili,akili.
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Sisi tuna raw materials sema wanaotuongoza ndivyo hivyo tena!

Ova
Japan haina raw material lakini inaongoza kwa teknolojia kubadili hizo raw material zako kuwa kitu cha maana

Teknolojia huna unambabaisha nani akizira hizo raw materials zako zitakuwa useless wao ndio wanazipa thamani

Pili wewe huna nguvu yeyoye bei za raw matelias zako wao ndio hupanga wanunue bei gani na pia vitu walivyotengeneza kutokana na raw materials zako zikawa finished products bei ya kukuzia wao ndio hupanga

Mwenye nguvu yeye sokoni halafu unasema wewe ndio umwite aje kwako haji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…