Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Amka usingizini wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiacha wizi wa "KURA"Najisikia vibaya sana jinsi Marais wetu huitwa kwa hawa ndugu zetu weupe kama vile unaita vitoto vyako vya kuvizaa.
Natamani siku ifike na sie Africa kama si Tanzania tuwaite eu au Amerika waje hapa bongo alafu tukae nao mbele ya meza ya duara tujadili kwa usawa kabisa fursa za kibiashara baina yao na sisi
Usingizi upi ndugu yanguAmka usingizini wewe!
Hizi kama story za mtu anayejidai ana miliki viwanja wakati wenzie wamejenga.Sisi tuna raw materials sema wanaotuongoza ndivyo hivyo tena!
Ova
Mkuu huwezi kuishi katika nadharia bali ishi katika uhalisia.Lakini tunaambiwa china na Tanzania zimewahi kuwa sawa kwa mapato sasa na sisi ni lini?
Ee si mazoezi tu na kujikubaliUnataka kupiga mashuti ya Aziz Ki wakati upaja wa Skudu?
Jamani na sisi si tunaambiwa mama anaupiga mwingi hawezi kutufikisha huko kweli?Thubutuuuu!
Unamaanisha wizi wa kura ndo inafanya wachina na wazungu watuite watakavyoTukiacha wizi wa "KURA"
Ni kweli hatufanani nao rangi,na wao hawafanani rangi na sisi,Ni ngumu hilo kuwezekana hatufanani nao wale sio wenzetu kuanzia rangi n.k
Ni kama mkulima na mfanyakaziSisi tuna raw materials sema wanaotuongoza ndivyo hivyo tena!
Ova
Najisikia vibaya sana jinsi Marais wetu huitwa kwa hawa ndugu zetu weupe kama vile unaita vitoto vyako vya kuvizaa.
Natamani siku ifike na sie Africa kama si Tanzania tuwaite eu au Amerika waje hapa bongo alafu tukae nao mbele ya meza ya duara tujadili kwa usawa kabisa fursa za kibiashara baina yao na sisi
Ni ngumu hilo kuwezekana hatufanani nao wale sio wenzetu kuanzia rangi n.k
Tena waje tuwapokee Airport kwenye YUTONG moja....wajue nasi tunazo fursa!
Afrika kuna rais mwenye uwezo wa kujenga hoja ya kusikiliza na mzungu??
Kama yule mwenye ushungi sijawahi kumsikia akiongea pointi (hoja kuntu) hata siku moja.
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."Uchumi uchumi uchumi, Elimu, Elimu, Elimu, akili, akili,akili.
This is very true."Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Japan haina raw material lakini inaongoza kwa teknolojia kubadili hizo raw material zako kuwa kitu cha maanaSisi tuna raw materials sema wanaotuongoza ndivyo hivyo tena!
Ova