Ni lini nafasi za kujiunga JWTZ zinaweza kutolewa?

Ni lini nafasi za kujiunga JWTZ zinaweza kutolewa?

young j

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
58
Reaction score
17
Habari wanajamii forums.

Nauliza ni lini nafasi za kujiunga na jwtz zinaweza kutolewa?

Natanguliza shukran zangu
 
Msange jkt wanaanza usaili next week.
Mdogo wangu yuko huko amenieleza.ila ni kwa form 6 waliosoma science tu.
 
Back
Top Bottom