Every good deed should be hold and preserved..licha kujinasabu kuwa hakuna tofauti kati yake na aliyetangulia ila bado sijaona jambo zuri kama ziara za kushtukiza. hayati Magufuli alishuhudia uozo mwingi katika baadh ya ofisi pia ilichangia moral na heshima kwa watendaj but now days wamerudia tena ukiburi wao. KASIM MAJALIWA aliiga mwanzoni mwa mwaka huu vipi kuhusu MAMA?