Ni lini serikali itaanzisha masomo ya uchawi mashuleni?

Ni lini serikali itaanzisha masomo ya uchawi mashuleni?

Umeongea point waje wafundishe jinsi ya kupaa na ungo
 
Afríka ínasifika sana kwa uchawi lkn hatujaitumia vema fursa hii. Nadhani sababu kubwa ni kwamba wazungu walituvuruga sana walipokuja Afrika kama wakoloni.

Kuna haja ya kuifufua taaluma yetu asilia ya uchawi kwa kuanzisha Somo la uchawi (witchcraft knowledge) mashuleni.

Halafu A level kuwe na tahasusi (combination) ya Bible Knowledge (Divinity), Islamic Knowledge & Witchcraft Knowledge. Yote haya ni masomo ya dini:- Dini ya Kikristo, Dini ya Kiislam, na Dini ya kipagani kwa mfuatano huo. Nchi nyingi zimeanza kutoa masomo ya uchawi ktk vyuo vikuu ikiwemo Marekani, South Africa, n k.

Kwa kufanya hivyo tutakuwa na wataalamu wengi wa uchawi ambao watatambuliiwa rasmi na serikali na hivyo watalipa kodi na kuongeza pato la taifa. Kama tulivyo na wachungaji, manabii na mashekhe wengi nchini wanaosajiliwa na serikali na hivyo wanatambulika.

Wateja wa uchawi wapo wengi sana barani Afrika na hasa hapa nchini. Takwimu zinabainisha kuwa 26% ya watanzania wanaamini uchawi, 23% ya wanigeria wanaamini uchawi, n.k.

Wabunge wengi sana ni wateja wa wachawi. Prof. Majimarefu (rip), aliwahi kutamka bungeni kuwa zaidi ya nusu ya wabunge wa bunge la 10 walipita mikononi mwake na akawachanja.

Somo la uchawi (witchcraft knowledge) ni fursa iliyosahaulika.
Mbona wameshakuja na mtaala mpya uitwao "Islamic Knowledge"? Watu sasa hivi tutaanza kusomeana albadiri mashuleni na tushindwe kusoma vizuri
 
Back
Top Bottom