Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Wachezaji wa simba huwa wanakutana hotelini kwani jengo halijulikani na jengo tunaloonyeshwa wamejaa wamachinga ,Mashabiki wa simba pia hawana sehemu ya kukutana na wala jengo wanalohisi ni lao hawalifahamu na halina alama ya kuonyesha hapa ni makao makuu ya simba kama ilivyo Yanga
Yanga na Azam ni timu pekee zenye majengo wanayoweza mashabiki na wachezaji kukusanyika na kufanya vikao na kusherekea ushindi
Simba kila wakati unakuta gari la simba limepeka pembeni ya mwendokasi kule Posta kwenye hotel ya Tanzanite huku wachezaji wakizurula zurula kwenye nyumba za wahindi
Hata mkichukua kombe mnaenda kusherekea hotelini,Yanga msafara unaanzia uwanjani na kwenda kusherekea jangwani