Ni lini Simba mashabiki watakusanyika kwenye Jengo lao kama Yanga?

Madumbikaya

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Posts
639
Reaction score
1,919
Wachezaji wa simba huwa wanakutana hotelini kwani jengo halijulikani na jengo tunaloonyeshwa wamejaa wamachinga ,Mashabiki wa simba pia hawana sehemu ya kukutana na wala jengo wanalohisi ni lao hawalifahamu na halina alama ya kuonyesha hapa ni makao makuu ya simba kama ilivyo Yanga

Yanga na Azam ni timu pekee zenye majengo wanayoweza mashabiki na wachezaji kukusanyika na kufanya vikao na kusherekea ushindi

Simba kila wakati unakuta gari la simba limepeka pembeni ya mwendokasi kule Posta kwenye hotel ya Tanzanite huku wachezaji wakizurula zurula kwenye nyumba za wahindi

Hata mkichukua kombe mnaenda kusherekea hotelini,Yanga msafara unaanzia uwanjani na kwenda kusherekea jangwani
 
Unaposema "jengo la Yanga" unakuwa umemaanisha lipi, lilelile la la miaka nenda rudi au lile la GSM?
 
Subiri wagonjwa waje watanena kwa lugha!

Back
Top Bottom