Ni Lini TARURA watalipa wakandarasi? Tumechoka sasa

Ni Lini TARURA watalipa wakandarasi? Tumechoka sasa

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,459
Reaction score
100,799
Kuna mambo yanaumiza Sana, wanatangaza tender, mnaomba tena mnalipia, unapewa KAZI unaambiwa ukaanze KAZI.

Unakopa, unafanya KAZI zao, wanakuja wanakagua, wanakwambia maandalizi ya Interim payment certificate (IPc), unaenda unasaini ili ulipwe uendelee na KAZI iliyobaki.

Subutuuu hakuna hata mia mbovu hawa Jamaa wanalipa. Mbaya Zaidi hawapokei simu.

Yale mabilioni ya Samia infrastructure bond yaliyeyuka Wapi? Tuache ubabaifu, usitangaze tender kama huna uhakika wa kulipa.

Lipeni Watu Huko tuna mikopo
 
Kaka sikia nikwambie

1. Pesa imeshatoka ikatumiwa kwingine
2. Wamekutazama wakaona wanakumudu hivyo hawatakulipa, wewe utaondoka site kisha pesa italiwa

UFANYE NINI
1. Usifanye kazi(peleka interest kwao)
2. Watakusitishia mkataba, nenda mahakamani kawadai hapo utawaweza

Kwanzia sasa USIENDELEE NA KAZI NA ONDOKA SITE

Watakwambia unacheza na serikali, ndugu yangu hivyo ni vitisho tu, wengine watakwambia hatukupi kazi(yaani tanzania nzima barabara ni za huko mkoa tu)

Namkumbuka sana QS KONDOBOLE alitupa madini sana

USITUMIE PESA YAKO KUFANYA KAZI YA SERIKALI
 
Kuna mambo yanaumiza Sana, wanatangaza tender, mnaomba tena mnalipia, unapewa KAZI unaambiwa ukaanze KAZI.

Unakopa, unafanya KAZI zao, wanakuja wanakagua, wanakwambia maandalizi ya Interim payment certificate (IPc), unaenda unasaini ili ulipwe uendelee na KAZI iliyobaki.

Subutuuu hakuna hata mia mbovu hawa Jamaa wanalipa. Mbaya Zaidi hawapokei simu.

Yale mabilioni ya Samia infrastructure bond yaliyeyuka Wapi? Tuache ubabaifu, usitangaze tender kama huna uhakika wa kulipa.

Lipeni Watu Huko tuna mikopo

USIFANYE KAZI NA SIMU KWA SERIKALINI

WEWE SUBMIT MADAI YAKO NA BARUA KILA WIKI

PELEKA INTEREST WATAKULIPA TU. KAMA HUKUPATA KAZI KWA RUSHWA AU KUJUANA

Kama boss ni mtoto wa shangazi akakupigia pande UMESHAFILISIKA
 
Nchi inamambo ya ******* sana hii kwa sasa.
Kuna daraja linaunganisha wilaya ya Geita na Nyang'hwale. Mkandarasi kaliacha sababu wapuuzi flani wanavuta vitambi kwenye ofisi za umma hawataki kutoa hela.
Watanzania tulipigwa na kitu kizito sana kwa awamu hii ya mpiga mwingi🙁
 
Ni madaraja MENGi sana Sana, kilichotokea LINDI kinasikitisha mno though haitakaa kisemwe.
 
Back
Top Bottom