Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Walizunguka Nchi nzima na Samia infrastructure Bond kumbe utapeli mtupuNchi ina shida sana kwa nini hawalipi????
Fix Tu zile Wala hamna lolote pale, ukiamini Ile kitu basi utaamini pia kuwa MOLLEL alichimba Tanzanitte ya MabilioniJamani si nyie nyie wakandarasi kwa umoja wenu mliomchangia pesa ya helkopta kwa ajili ya uchaguzi?!
Pitia uzi huu Pre GE2025 - Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-
Wataitapika kwa njia Yoyote ileKuna wajanja walishajilipa hela yenu.....
Kuna mambo yanaumiza Sana, wanatangaza tender, mnaomba tena mnalipia, unapewa KAZI unaambiwa ukaanze KAZI.
Unakopa, unafanya KAZI zao, wanakuja wanakagua, wanakwambia maandalizi ya Interim payment certificate (IPc), unaenda unasaini ili ulipwe uendelee na KAZI iliyobaki.
Subutuuu hakuna hata mia mbovu hawa Jamaa wanalipa. Mbaya Zaidi hawapokei simu.
Yale mabilioni ya Samia infrastructure bond yaliyeyuka Wapi? Tuache ubabaifu, usitangaze tender kama huna uhakika wa kulipa.
Lipeni Watu Huko tuna mikopo
Ni madaraja MENGi sana Sana, kilichotokea LINDI kinasikitisha mno though haitakaa kisemwe.Nchi inamambo ya ******* sana hii kwa sasa.
Kuna daraja linaunganisha wilaya ya Geita na Nyang'hwale. Mkandarasi kaliacha sababu wapuuzi flani wanavuta vitambi kwenye ofisi za umma hawataki kutoa hela.
Watanzania tulipigwa na kitu kizito sana kwa awamu hii ya mpiga mwingi🙁