Kwahiyo sisi tumemsajili shibobo wahindi ila bado tunamtegemea kamusoko asawazishe. Afu sisi tushangilie kama tumemtoa ud songo. Hapana hi haitomaliza hasira zetuNi mpaka pale kamusoko akiacha unyanyasaji wa kijinsia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa unaumiza watu ujue kwa maneno yako ya ShomboKwahiyo sisi tumemsajili shibobo wahindi ila bado tunamtegemea kamusoko asawazishe. Afu sisi tushangilie kama tumemtoa ud songo. Hapana hi haitomaliza hasira zetu
Hamna kaka sisi tulitaka yanga wafungwe tuwacheke ila wale viungo wao vijana walimficha babu kamusoko kaja bahatisha kashuti mwishoni. Walivyo na sifa hawa wananchi wanaenda mpiga zesco kwao sio kama sisi tulikula nyingi 13 tulivotoka nje mechi3[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa unaumiza watu ujue kwa maneno yako ya Shombo
Tulia dawa iingieHamna kaka sisi tulitaka yanga wafungwe tuwacheke ila wale viungo wao vijana walimficha babu kamusoko kaja bahatisha kashuti mwishoni. Walivyo na sifa hawa wananchi wanaenda mpiga zesco kwao sio kama sisi tulikula nyingi 13 tulivotoka nje mechi3
Kibaya zaidi sisi simba tunatakiwa kununua jezi kama 3 yanga akingia makundi haya mateso makubwa sana wananchi wanatupatia sisi wamatopeniVipensi futiboli klabu
Mimi mateso ananipatia Kamusoko kwanini atufanyie vile lakiniKibaya zaidi sisi simba tunatakiwa kununua jezi kama 3 yanga akingia makundi haya mateso makubwa sana wananchi wanatupatia sisi wamatopeni
yanga akitolewa na zesco anaenda shirikisho kumalizia maumivu yake, , simba sasa maumivu yenu ni mpaka mwakani mwezi wa 8 ndio mtanusa kimataifa! poleni sana!Mtoa mada mshabiki wa yanga kuna kitu kinakusumbua na kukutafuna ndani kwa ndani....najua maumivu ni makubwa mnoo but wakulaumiwa si simba bali ni kamusoko...simba hawahusiki kabisa na nyie kutoa droo nyumbani...jipangeni kwa mechi inayokuja mshinde or mtoe draw ya goli zaidi ya moja ugenini ili mpite la sivyo haya maumivu hayataisha leo
UD SONGO jana kafungwa na vibonde wa zimbabwe, hahaha simba kimataifa mpaka mwakani mwezi wa 8, poleni sanaMimi mateso ananipatia Kamusoko kwanini atufanyie vile lakini
Mkuu hii luga we ni kamusoko itakua au muhindi mbrazil au mshiboboHata Yanga akioigwa 10, Simba haikustahili itolewe hata round 2, tulitakiwa turudi robo finali tena. Au yanga walitupiga miba tukawaona ud songo kama yanga na tungewafunga??!!!!!