Ni lini tutafuta na kumaliza kabisa maumivu ya ud songo

Ni lini tutafuta na kumaliza kabisa maumivu ya ud songo

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,630
Reaction score
2,169
Mimi kama mwanasimba halisi. Nilivyoona simba yangu msimu uliopita ikifanya vizuri na usajili iliofanya mwaka huu nikajua tutakua mabingwa wa Africa.
Kwa bahati mbaya ud songo wamakonde wakatutoa round ya kwanza. Basi nililia sana bado hasira haziishi yanga alifungwa na jkt ruvu nikashangilia hazikuisha nimemfunga mtibwa bado . Jana nikajua yanga atapigwa 3-0 au 5-0 kama sisi tulivyofungwa na as vita na al haly. Matokeo yake zesco akadraw . Nilinunua na jezi ya zesco bado Nina hasira je lini zitaisha.
Kibaya yanga akitolewa na zesco anenda shirikisho. Mimi simba ntabaki kucheza tu na ndanda mwadui na namungo ya lindi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa unaumiza watu ujue kwa maneno yako ya Shombo
Hamna kaka sisi tulitaka yanga wafungwe tuwacheke ila wale viungo wao vijana walimficha babu kamusoko kaja bahatisha kashuti mwishoni. Walivyo na sifa hawa wananchi wanaenda mpiga zesco kwao sio kama sisi tulikula nyingi 13 tulivotoka nje mechi3
 
Tulia dawa iingie
 
Hata Yanga akioigwa 10, Simba haikustahili itolewe hata round 2, tulitakiwa turudi robo finali tena. Au yanga walitupiga miba tukawaona ud songo kama yanga na tungewafunga??!!!!!
 
Fungua moyo wako washangilie Yanga..timu zote za Kariakoo
 
Mpaka wananchi watolewe tuvute subira ni mwisho wa mwezi tu
 
Mtoa mada mshabiki wa yanga kuna kitu kinakusumbua na kukutafuna ndani kwa ndani....najua maumivu ni makubwa mnoo but wakulaumiwa si simba bali ni kamusoko...simba hawahusiki kabisa na nyie kutoa droo nyumbani...jipangeni kwa mechi inayokuja mshinde or mtoe draw ya goli zaidi ya moja ugenini ili mpite la sivyo haya maumivu hayataisha leo
 
yanga akitolewa na zesco anaenda shirikisho kumalizia maumivu yake, , simba sasa maumivu yenu ni mpaka mwakani mwezi wa 8 ndio mtanusa kimataifa! poleni sana!
 
Kamusoko ashtakiwe kwa kosa la Kutakatisha Goli maana sio kwa Fimbo ile ya dakika 94
 
Hata Yanga akioigwa 10, Simba haikustahili itolewe hata round 2, tulitakiwa turudi robo finali tena. Au yanga walitupiga miba tukawaona ud songo kama yanga na tungewafunga??!!!!!
Mkuu hii luga we ni kamusoko itakua au muhindi mbrazil au mshibobo
 
Back
Top Bottom