Hapo itategemea na genes za wazazi wote wawili sababu kama ana sura ya kikubwa ni kwamba ameshakuwa kwa sababu kuna watu wengi wafupi wenye miili midogo lakini sura inakutambulisha kama ni mtu mzima.Sawa mkuu ana Sura ya Kikubwa Lakn Umbo lake bado Ni Dogo(Hajatanuka)Vp hapo ananafasi
Daa 17 years una 6 feet? Unaweza komea hapo hapo au ukarefuka zaidi hadi 6.5 kufikia 22-25yearsobviously urefu unatoka kwa wazazi.
mimi ni 17 but ni 6 feet tall sababu wazazi ni warefu hivyo nimerithi.
sasa kama yeye wazazi wake ni warefu basi kuna uwezekano mkubwa wa yeye kurefuka hapo baadae ila kama ni wafupi basi hakuna njia nyingine zaidi ya kujikubali, ila nadhani kuna njia za kufanya mazoezi nimeona watu wanatoa shuhuda kwamba wameongozeka some inches.
Na mm Nimeliona Hilo Ila sidhan kama anaweza Fikia 6.5feet,Atatisha Na kama ni mwembamba Atakuwa kama NgongotiDaa 17 years una 6 feet? Unaweza komea hapo hapo au ukarefuka zaidi hadi 6.5 kufikia 22-25years
bila shaka nitaongezeka 3 inches sababu kipindi cha ukuaji kilishapita.Daa 17 years una 6 feet? Unaweza komea hapo hapo au ukarefuka zaidi hadi 6.5 kufikia 22-25years
6.2 - 6.5 ni kawaida kwa mwanaume.Na mm Nimeliona Hilo Ila sidhan kama anaweza Fikia 6.5feet,Atatisha Na kama ni mwembamba Atakuwa kama Ngongoti
Kuna uwezekanano akawa amefikia ukomo wa kurefuka. Hata hiyo nusu inchi aliyoongezeka, sio kwa sababu ya dawa, bali ni umri ulimruhusu.Hapo Sawa mkuu kwa maana Hiyo Dogo bado anachance ya Kurefuka kidogo licha Ya Kuwa Na ndevu ee
Ni kweli MkuuKama ana akili zinazomtosha basi.Urefu atuachie sisi.
I'm sure ndio yy huyoo anatuzuga tu hapaKuna ubaya gani ukisema ni wew mleta mada?
Ningekuwa Najua kucheza basketball sa hii Ningekuwa Mazoezin Lakin cha Ajabu Niko JFI'm sure ndio yy huyoo anatuzuga tu hapa
Ni kwel Umenena Madam.Hata Hivo mi Naona 5.3-5.4 feets Hakuna cha Ajabu,Kingine Dogo jenyewe Handsome Pia Ana akili Ya Shule balaa,Is Like Anakila kitu Mi Naona,Ila nahisi Kama Isingekuwa Basketball Asingekuwa Anafikir kabisa about Height.Kwa sababu Wenzake wa basketball ni 5.7-6.2feets Sasa nahisi Huwa anajilinganisha.mlimuathir nyie kwanza kisaikolojia.toka udogo wake mkaanza kumsema mfupi mfupul hio tayar imeshamuaafect apewe councering na ataacha.mbona iverson ana 5 lakin humkabi