Kwa sauti ya unyenyekevu kabisa niiombe serikali iwe na huruma kwa wananchi wake.
Nia ya kuanzishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii pamoja na bima ya afya ya taifa ni njema. Ila kinachoendelea sasa ni kwamba haya mambo yamekuwa kama laana, masikitiko kwa wanachama wake.
Nimeshuhudia watu wakikosa huduma hospitalini na huku mkononi ana kadi ya bima ya NHIF.
Nimeshuhudia watu wakidai mafao yao hadi wanakata tamaa.
Sheria za mifuko ya hifadhi ya jamii zimetungwa maksudi kabisa kuwaumiza wanachama.
Mbaya zaidi ni kwamba wanaonufaika na michango hiyo wala wao sio wachangiaji.
Kwa nini watanzania wachache wameamua kutukomoa sisi wengi?
Tunaomba muwe na huruma.