Ni lini waliopandishwa madaraja wanaanza kupokea mishahara mipya?

Ni lini waliopandishwa madaraja wanaanza kupokea mishahara mipya?

Tprecious

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2018
Posts
256
Reaction score
342
Naomba kujua ivi watumishi wenye sifa ya kupanda madaraja mishahara mipya wanaanza kuiona mwezi huu wa sita au wa Saba mana kuna mtu namdai hela nyingi ataki kunambia ukweli
 
Mmmmh acha uongo ina maana ulimkopesha ukitarajia akulipe akipanda daraja??? Hiyo hela ndefu unayosema ndo hiyo inayoongezwa mtu akipanda daraja 😂😂😂😂😂ungeishia kutype hapo kwenye mwezi wa saba tu.
 
Naomba kujua ivi watumishi wenye sifa ya kupanda madaraja mishahara mipya wanaanza kuiona mwezi huu wa sita au wa Saba mana kuna mtu namdai hela nyingi ataki kunambia ukweli
Swali lako lilitakiwa liishie tu hapo kwenye miezi! Hayo masuala ya madai ni ya kwako binafsi.

Jibu ni kwamba, kwa uzoefu barua inatakiwa ikabidhiwe kwa mhusika mwezi huu wa sita! Tena barua ya kupanda inatakiwa isome tarehe 01/06!!! Halafu mshahara mpya unatakiwa kusoma mwishoni mwa mwezi wa saba!

Ila cha kushangaza mpaka leo, maeneo mengi ni sarakasi tu. Hakuna cha barua wala nini! Zaidi tu watumishi tulikusanya taarifa zetu muhimu zikiwemo barua za last promoshen na opras.
 
Naomba kujua ivi watumishi wenye sifa ya kupanda madaraja mishahara mipya wanaanza kuiona mwezi huu wa sita au wa Saba mana kuna mtu namdai hela nyingi ataki kunambia ukweli.
Kuwa mkweli. Ni wewe unauliza kijanja.
 
Naomba kujua ivi watumishi wenye sifa ya kupanda madaraja mishahara mipya wanaanza kuiona mwezi huu wa sita au wa Saba mana kuna mtu namdai hela nyingi ataki kunambia ukweli
Inatakiwa mtu akipokea tu barua soon mshahara ubadilike, ila sasa hata haifanywi hivo, na haina muda maalumu mshahara unaweza fata baada ya miezi mitatu, nne, tano, sita n.k
Kwa kifupi haina muda maalumu
 
ndugu hiyo ya mabadiliko haina muda inaweza kuwa muda wwte hvyo usidhan ni mwsho wa mwez wa saba hpna inawwzekakna hta mwakn mwanzon
 
una halaka sana braza ndio kwanz tupo kwnwyw lecaterigoziration ili tujue kama uliperform target na vision
 
Mbona niliona wizara ya mambo ya ndani ikideal na watumishi wao...sijajua taasisi nyingine

Ila usihofu mambo mazuri yanakuja
Bajet inakataaa watachukua ajira mpya 2014 ,2015 vumilieni jamani najua hali ni mbaya sana jiwe aliwatesa sana
 
Ndio maana Prof Assad alisema Utumishi wa umma umejaa vilaza.

Serikali ndio kwanza inajadili bajeti mpya ya kuanza kulipa na mwaka mpya wa fedha wa serikali unajulikana unaanza lini lakini bado kuna watu wanaojiita watumishi hamjui hata hili dogo.

Ni vyema serikali ilete mfumo wa ajira za mkataba Ili kutoa vilaza wote kwenye system
 
Back
Top Bottom