Mshambuliaji wa Barcelona na Nahodha wa Argentina, Lionel Andres Messi amenyakua taji la mwanasoka bora wa mwaka barani Ulaya jana. Messi amewashinda Christiano Ronaldo na Luis Suarez.
Messi ameshaanza msimu huu wa kisoka kwa kupachika mabao mawili dhidi ya Sevilla huku Ronaldo akionekana kuchoka na kukabika.
Huyo ndiye Lionel Messi aka Andunje!