Ni Lionel Andres Messi tena

Ni Lionel Andres Messi tena

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Mshambuliaji wa Barcelona na Nahodha wa Argentina, Lionel Andres Messi amenyakua taji la mwanasoka bora wa mwaka barani Ulaya jana. Messi amewashinda Christiano Ronaldo na Luis Suarez.

Messi ameshaanza msimu huu wa kisoka kwa kupachika mabao mawili dhidi ya Sevilla huku Ronaldo akionekana kuchoka na kukabika.

Huyo ndiye Lionel Messi aka Andunje!
 
King Messsssssi hatareeee
 
Messi Messi Messi Messi Messi Messi, mimi nimeishiwa maneno ya kukusifia.
 
bado na ballon dor ni ya kwake he has no opposition at all
 
Back
Top Bottom