Ni lipi basi zuri la Dar - Iringa

Ni lipi basi zuri la Dar - Iringa

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,089
Reaction score
424
Habari,

Naweza kufahamishwa usafiri mzuri wa Dar kwenda Iringa na gharama zake
 
ABC game over.

Ofisi zipo Manzese.

Usijifanganye Upendo ilikua zamani.

Ukikosa tembea na Deluxe.
 
ABC Upper Class.

Maisha raha kabisa na hao jamaa.
 
Kwani Iringa nauli bei gani? Kuna bus lipo Buguruni sheli apo niliona nauli 15,000 alafu lipo fresh tu!
 
Kwani Iringa nauli bei gani? Kuna bus lipo Buguruni sheli apo niliona nauli 15,000 alafu lipo fresh tu!
Inategemeana na basi utakalopanda na hadhi yake pia.

ABC luxury class bei yao ni 28,000/=
Kuna hilo basi la Buguruni bei yake ni 15,000/=
Kuna ya 22,000/= etc.

Kupanga ni kuchagua, ila cha muhimu ni kufika.
 
Sawaa mkuu
 
Back
Top Bottom