Ni lipi Basi zuri la VIP la kwenza Mwanza kutoka Dodoma

Ni lipi Basi zuri la VIP la kwenza Mwanza kutoka Dodoma

mbwiki

New Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
4
Reaction score
2
Naomba kujuzwa basi zuri la VIP la kutoka Dodoma hadi Mwanza lisilo na mwendo mkali. Ni mara ya kwanza kuelekea jiji la Mwanza.
 
Naomba kujuzwa basi zuri la VIP la kutoka Dodoma hadi Mwanza lisilo na mwendo mkali. Ni mara ya kwanza kuelekea jiji la Mwanza.
Nyehunge

Kuna mabasi kwa mfano Zuberi yapo kama Daladala usipande,kila sehemu wanapakia,mnajazwa kama nyanya
 
Kuna Ally's ambazo zinatoka Dodoma pale pale, ila mazuri ni SATCO na NGASERE.
 
Back
Top Bottom