Ni lipi kosa la Lutenant Denis Urio? Au Mimi kuna sehemu nimepitwa?

Urio ni aina ya watu ambao hawatakiwi kuishi kwa dunia ya sasa! Mwanaume wa kweli hatakiwi kuwa muongo na msariti kwa makomandoo wenzake.mwanaume kamili husimamia kile anachoamini
Don't panic. Pana mchezo tu unachezwa hapo. Hakuna atakayefungwa wala kufukuzwa kazi. Pande zote zitaendelea na mambo yake.

Ushafanya mzaha wa kumkimbiza mtoto mdogo anayejifunza kukikmbia? Ndo kinachofanyika hapo. Kisha mtoto atajiona mshindi kumbe baba alikimbia kwa kurudi nyuma.
 
Kama Mungu akimjaalia umri mrefu/mkubwa,atakuja kueleza nini kilitokea.Sasa hivi,aachwe aogelee kwa ufundi auwezao.
 
Kama Chadema mnajua hivyo ,mnashangilia eti SIRO ataondolewa.Nani atamuondoa SIRO wakati Siri zote anazo ,labda astaafu.Mnangangania wabunge 19 kuwa waliwekwa na Ndugai.Nani anawapotosha?Wabunge wale ni mpango wa CCM.Tatizo la Chadema hamna taarifa za ukweli.
 
Kosa la Urio ni kushindwa kusimamia ukweli na kujaribu kusema uongo kisa kulinda ajira na cheo, tunafahamu kuwa Urio hajawahi kwenda kutoa taarifa kwa DCI wala hakupanga kuwaingiza kwenye uhalifu isipokuwa amekubali kuwa mtesi wao.
Urio alikuwa kazini. Kazi kaifanikisha na sasa anaimalizia mahakamani
 
Mkuu wa majeshi amtafakari na kumshauri mtumishi wake!!hadhi ya jeshi nimuhimu ikalindwa...

Hii kesi inaharibu sifa ya jeshi hasa kwamtu wa kitengo muhimu kama huyu mwalimu wa makomandoo!!
Mwalimu anayetumika kutengeneza kesi yamichongo kamahii tens anachekacheka mahakamani hapaswi kubaki mtumishi wa jeshi tiifu. Aibu kubwaaa...
 
Atapewa diplomatic post baada ya kesi
 
Haujapitwa na kitu Mkuu,upo sahihi.Urio kawekwa mtu kati,abadilishe nia yake njema ionekane kuwa nia ovu ya Mh Mbowe ili lengo la kuzima moto wa Katiba mpya na CDM Digital.
Umepatia na huyu Luteni Urio anatakiwa kuwekewa ulinzi kwa usalama wake maana baada ya ushahidi wake kukamilika wanaweza kumpoteza-Disposability might be the only option.
 
Urio kweli komando pia ni tunu Kwa mustakabali wa Taifa hapo baadae. Alichokifanya ni kitu cha kikomandoo kabisa, ametoa utetezi kikomandoo aliyeshikiliwa mateka. Lakini watu hawakumuelewa na waliyomuelewa bado hawakumuelewa, ila amelaisisha kazi na pia ameeleweka.

Kazi kwao mawakili Kwa kuweza kutumia akili kumuweka huru na kuweza kutumia ushahidi aliwotoa kuwatetea makomandoo wengine.

Urio hayupo huru ameshikiliwa mateka
 
Aseme ukweli Ili apone kwani akipoteza kaxi kw kutetea haki itamgharimu nini?
 
Urio ni aina ya watu ambao hawatakiwi kuishi kwa dunia ya sasa! Mwanaume wa kweli hatakiwi kuwa muongo na msariti kwa makomandoo wenzake.mwanaume kamili husimamia kile anachoamini
Na ndio maana anapewa ulinzi, siku wakimuacha makomandoo wenzake watafanya yao... ni jambo la muda tu kwa msaliti wa makomandoo wenzake... double agent ni mecenary tu... stahili yake anaijua hata kama alikuwa Dafua.
 
Anapaswa haraka awezavyo, akawapigie magoti watuhumiwa na kuwaomba msamaha, pia kuomba msamaha familia zao.
Kuna muda mtu hufanya kosa kwa kulazimishwa.
Naam! Kuwapeleka watuhumiwa kwa DCI ili kupika kesi kutaendelea kumhukumu.
 
Urio ni aina ya watu ambao hawatakiwi kuishi kwa dunia ya sasa! Mwanaume wa kweli hatakiwi kuwa muongo na msariti kwa makomandoo wenzake.mwanaume kamili husimamia kile anachoamini
Inawezekana mateso na vitisho alivyopitia nadhani ningekua Mimi ningeshakata Moto siku nyingi.
 
Eeh Mungu wee,!
Mkuu Umeongea maneno mazito Sana haya.
 
Anapaswa haraka awezavyo, akawapigie magoti watuhumiwa na kuwaomba msamaha, pia kuomba msamaha familia zao.
Kuna muda mtu hufanya kosa kwa kulazimishwa.
Naam! Kuwapeleka watuhumiwa kwa DCI ili kupika kesi kutaendelea kumhukumu.
Hapiki kwa hiari, inawezekana analazimishwa.
Akina Adamoo walisaini maelezo wakiwa wamewekewa pisto kichwani.
Urio ni Nani apingane na wenye nguvu?
 
Nakuelewa Sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…