Ni lipi Tamko la vyama vya wafanyakazi kuhusu ongezeko la mwaka la mshahara?

Hakuna tena vyama vya wafanyakazi siku hizi, ni matawi ya Umoja wa Wazazi tu.

Viongozi wote waoga wanaogopa kulimbokwa, wameamua kuwa machawa, wanasubiri fursa ndogo tu waimbe mapambio.
 
TUCTA na TUGHE tunaomba majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…