ni loan board sasa!!!!

ni loan board sasa!!!!

The End..

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
4,357
Reaction score
3,835
Nimepata tetesi kwamba loan board imeachia majina kwa % na kuna baadhi ya vyuo kama mzumbe wameshaachia fomu, je ni kweli wadau......!!!!
 
Nimepata tetesi kwamba loan board imeachia majina kwa % na kuna baadhi ya vyuo kama mzumbe wameshaachia fomu, je ni kweli wadau......!!!!

Majina kwa asilimia za nini...?.baadhi ya vyuo wameachia fomu za ujauzito au...as a great thinker try to be more competent when you present facts in a mass
 
Majina kwa asilimia za nini...?.baadhi ya vyuo wameachia fomu za ujauzito au...as a great thinker try to be more competent when you present facts in a mass

unaonyesha ni jins gan ulivyo narrow thinker hujui maana ya tetesi...!!!!
Mpo wengi humu jf mnaovamia ku-commet thread without thinking jipange kwanza usikurupukekurupuke !!!!!
 
mmmh!majanga hata siamini!! is this great thinker page or? i fed up guys please serious must observed!!@
 
Wewe kama msomi unakubalije kuchukua tetesi za mtaa unatuletea humu, ungeingia ktk website ya heslb upate uhakika kwanza, tetesi zako za mtaani zipeleke fb ningekua na uwezo watu wanaoleta habari za uongo ningewafungia account zao.
 
Jaman naomba kuuliza majina ya second batch tayari yameshatoka au bado NA VIP KUHUSU WALE walio appeal kwa ajili ya secon year yani wakiwa first year walikosa
 
mmmh!majanga hata siamini!! is this great thinker page or? i fed up guys please serious must observed!!@

mkuu sio lazima uandike kiingereza,kama haupo vizuri bora uache....hebu angalia ulivojichanganya hapo
 
mkuu sio lazima uandike kiingereza,kama haupo vizuri bora uache....hebu angalia ulivojichanganya hapo

Kiswahili mkikosea hamkosoani: kiingereza mkikosea mnatupiana madongo.
wapuuzi.
 
Habari nilizonazo ni kwamba kikao kitakaa jumatatu. hivyo muwe na subira tu.
 
Kiswahili mkikosea hamkosoani: kiingereza mkikosea mnatupiana madongo.wapuuzi.
sio madongo tunaelezana ukweli na kwanini mtu unang'ang'ania kitu ambacho unajua kabisa kwamba hukiwezi? Na wewe kosea hata kiswahili halafu uone kama tutakuacha....mpuuzi
 
Back
Top Bottom