love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,595
- 3,089
Hapana nahisi hizo ni story za kusadikika sijaona maandishi yeyote yaliyosema ivo,Ili ndo bara ambalo wanaishi alien?
Kufkia kuandika haya naweza kutofautisha fantasy na reality,Tukivuta bangi tusikimbilie JF kuanzisha thread. Mara Hitler Mara CIA, Mara lugha Mara chafuliwa.
Sina hakika kama ingekuwa ivo mbona now mzungu anaenda mpaka mwezin na sayari za mbali?Jaribu kutafuta habari za mapiramidi ya hapo Misri yanayoonekana halafu urudi kutafakari kati ya uliyo ya andika hili la kusema wasingeweza kujenga mnara wa kumfikia Mungu wa Mbinguni.
jibu hojaTukivuta bangi tusikimbilie JF kuanzisha thread. Mara Hitler Mara CIA, Mara lugha Mara chafuliwa.
Hapo kwenye Antarctica ulimaanisha Atlantis au?Hili ni swali nililojiuliza mara kadhaa huko nyuma.
Katika pita pita zang kwenye vitabu mbali mbali nimekuta mara kadhaa sio mara moja
ikitajwa kuwa haikuwa lugha ya kawaida watu wali wasiliana mind to mind(telepathy) mtu aliweza kutambua fikra za mtu mwingine.
Hii haikuwa muujiza bali ilitokana na maendeleo ya teknolojia waliyokuwa nayo,
Ndio maana vitabu mbali mbali haviuchukulii huu mnara kuwa mnara wa kawaida bali teknolojia iliyokuwepo mahali hapo.
Kama ungekuwa mnara wa kawaida ulio kuwa unajengwa usingeweza kumfikia Mungu aliko na kuamua kuivuruga lugha hiyo
kwa mujibu wa vitabu vya dini kama sasa watu wanavyoenda sayari za mbali bila shida.
Ikumbukwe babel hii inahusishwa na bara la Antarctica bara ambalo inasemekana teknolojia yake hatujaifikia bado,
Maghorofa na vifaa vya teknolojia kubwa vimegundulika kwa wingi,
Kutoweka kwa bara hili kunahusishwa mara kadhaa na teknolojia iliyokuwepo isiyo ya kawaida..,
Ni Bara ambalo inadaiwa lilifunikwa na volcano.
Plato pia aliwahi kuandika kuhusu bara hili baada ya kusoma habari zake misri ya kale(alexandria library) ,
Adolf Hitler inasemekana ni bara alilokuwa akifanya utafiti kuhusu silaha za kivita za maangamizi kabla CIA kukundua na kudhibitiwa.
Hii lugha imetajwa mara kadhaa na watu waliowahi pitia near-death experience (NDE),
kwale walio soma vitabu kuhusu near death experience wanaelewa mtu akiwa katika hali hiyo wakati flani huwa anauwezo wakuona projection ya fikra za mtu mwingine.
sina hakika kama ni hii pia huwa inasababisha mama mwenye mtoto anaenyoshesha akiwa mbali nae anaweza tambua ikiwa mtoto wake analia kwa njaa.
Nakaribisha michango..,
itaendelea...
NdioHapo kwenye Antarctica ulimaanisha Atlantis au?
Ukipata mda pitia kuhusu brain computer interaction(BCI) itakusaidiaTukivuta bangi tusikimbilie JF kuanzisha thread. Mara Hitler Mara CIA, Mara lugha Mara chafuliwa.
Roho mtakatifu si amekuja baada ya Yesu kupaa mbinguni according tu maandiko.Hii lugha ni lugha ya roho mtakatifu.
Hata leo , mchina akiongea lugha ya roho mtakatifu na wewe ukawa unaengea lugha hiyo katika maombi , huwa munaelewana licha ya watu waliopo kati yenu kutoelewa manchokiongea
Lugha hii haizungumzwi kwa kutumia akilia bali mpaka roho wa MNUGU akushukie.
Ikumbukwe kuwa kuna lugha za kipepo kama mtu akipandisha majini huziongea au waganga wa jadi
Wanadai ivo course is the best way ya kufunga mjadala kuhusu atlantis.Wanasayansi mpaka leo hawajathibitisha kuwepo kwa bara Atlanta . Sehem wanayosema ilo bara lilikuwepo kila wakichimba na kutafuta mabaki ya vitu hakuna kinachopatikana kwenye bahati ya Mediterranean
You have reached your thinking limit, let others think.Hebu vuteni bange Kisha mbishane
Ni kweli It existed kutoka na vyanzo mbalimbali lakini wanasayansi unawajuwa watu wa Data. Hawaamini kwa sababu wameambiwa au kusoma wanataka ushahidi kama masalia ya vyombo vya kale, majengo. Vitu havionekani imegeuka na kuwa Nadharia. Nimefuatilia kwenye NAT Geo channelWanadai ivo course is the best way ya kufunga mjadala kuhusu atlantis.
vyanzo mbali mbali vinaonyesha it existed.
Uko sahihi ndio maana nimesema hiyo ndio njia pekee inayotumika kufunga mjadala kuhusu jambo ambalo halitakiwi kujadiliwa.Ni kweli It existed kutoka na vyanzo mbalimbali lakini wanasayansi unawajuwa watu wa Data. Hawaamini kwa sababu wameambiwa au kusoma wanataka ushahidi kama masalia ya vyombo vya kale, majengo. Vitu havionekani imegeuka na kuwa Nadharia. Nimefuatilia kwenye NAT Geo channel