Ni message gani ukiona ama kusikia inakufurahisha au kukuudhi pindi uionapo?

Ni message gani ukiona ama kusikia inakufurahisha au kukuudhi pindi uionapo?

kitero

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
563
Reaction score
110
1.Mateso yakizidi Neema inakaribia
2.Paka haishi kwa msela
3.Jogoo hafi kwa utitiri
4.kuku kuku tuu jogoo jina.
Hii yote nafurahi pindi niionapo.
 
Tanzania shamba la bibi.,
Inaniuma hii kauli Mungu ndo anajua asee😡
 
Tanzania shamba la bibi.,
Inaniuma hii kauli Mungu ndo anajua asee😡
Nakatika michezo .Kichwa cha mwenda wazimu nayo hii inaniudhi ile mbaya na ndiyo maana sipendi michezo yaaina yoyote Tz
 
1. Kanzu haivaliwi mlegezo !
2. Chizi hakamatwi uzururaji !
3. Nguo iliyochakaa (dabwada) ndiyo dekio jipya ! .
 
Kila mla cha mwenzie na chake pia huliwa
 
Kama haujui umuhimu wa mat*ko kalia kichwa
 
Back
Top Bottom