flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Kipato changu haba kwa mwaka naingiza milion 7,200,0000# ila mwaka huu nimepanga nikipandishe mpaka milion 9,600,000#
Mchanganuo wangu kwahiyo milioni 6,200,000# nikama ifuatavyo:
Matumizi ya lazima kwa mwaka:
Chakula milion 2,520,000#
Kodi ya nyumba laki 600,000#
Ada ya chalii wangu laki 600,000#
Kiwanja million 1,500,000#
Mavazi me nachalii yangu laki 300,000#
Jumla inakuwa milion 5,520,000#
7,200,000 - 5,520,000 = 1,680,000#
Kwahiyo hapo itabakia milion 1,680,000
Hiyo baki ndio itatumika kwenye vitu ambavyo sio vyalazima. Endapo kama Mungu akiniepusha namaradhi makubwa.
Na endapo kama nitafikia malengo yakuingiza milion 9,600,000# basi nitapiga hatua moja kwenda ingine. Mungu bariki kazi ya mikono yangu Mungu bariki kipato changu. Amina