Ni maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya kwenye maisha yako?

Ni maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya kwenye maisha yako?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya mpaka sasa huamini kama ni wewe ulifanya yale maamuzi?

Tiririka Mkuu.....

Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris nchini Ufaransa 🇫🇷
 
1. Nilioa at 21 years

2. Niliacha kaz ya mshahara wa over 2million just to start chasing my dream ambayo haikua inaniingizia hata mia.. nimesota sanaa sasa nio miaka mi 3 ndio kwa mbaaaali imeanza kuingiza around 1m kwa mwezi na Mungu akibariki nikatia juhudi lengo ni ku make 50mils a month after 5 years
 
Haya sio maamuzi magumu tuu pia ni uchawi ahahah jokes
 
Ilikuwa miaka ya 70 ndio niliondoka kuja kutafuta maisha mbali na continent letu na mpaka leo niko nje

Ilikuwa ni kuanza maisha ya kujitegemea mbali na wazazi ila yalikuwa maamuzi magumu kwa mimi na mzee wangu
Ni muda mrefu umepita itakuwa ulishajipata.
 
Back
Top Bottom