appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,262 Reaction score 2,184 Aug 17, 2024 #21 Kuacha kujichua ilikza jambo bora kwangu
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Aug 17, 2024 #22 The Icebreaker said: Hayo sio maamuzi magumu,hiyo ni baraka,tukomae tu na box mkuu,hakuna kurudi nyunyuma Click to expand... Ni kweli kabisa ilikuwa ni mwanzo wa safari yangu ndefu ya maisha nisiyoyajutia ila Baraka nyingi tu
The Icebreaker said: Hayo sio maamuzi magumu,hiyo ni baraka,tukomae tu na box mkuu,hakuna kurudi nyunyuma Click to expand... Ni kweli kabisa ilikuwa ni mwanzo wa safari yangu ndefu ya maisha nisiyoyajutia ila Baraka nyingi tu
Yohimbe bark JF-Expert Member Joined Sep 1, 2019 Posts 2,160 Reaction score 5,728 Aug 17, 2024 #23 Narudi.
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Aug 17, 2024 #24 Kufunga ndoa bila kualika kima yoyote anaeitwa ndugu yangu, wakabwata sana ila ndo hivyo mtu mwenyewe sijali
Kufunga ndoa bila kualika kima yoyote anaeitwa ndugu yangu, wakabwata sana ila ndo hivyo mtu mwenyewe sijali
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Aug 17, 2024 #25 Kalaga Baho Nongwa said: Mpaji mungu hilj jina lako tu inonkena umekataa kabisa kutegemea watu. We unadili na godi tu Click to expand... Mi kumtegemea mtu siwezi kabisaa....japo kwenye utafutaji wangu nimesaidiwa sana na bado nasaidiwa baadhi ya mambo
Kalaga Baho Nongwa said: Mpaji mungu hilj jina lako tu inonkena umekataa kabisa kutegemea watu. We unadili na godi tu Click to expand... Mi kumtegemea mtu siwezi kabisaa....japo kwenye utafutaji wangu nimesaidiwa sana na bado nasaidiwa baadhi ya mambo