BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,732
- 3,508
Habari wakuu,
Kuna urafiki yangu toka mkoani kwetu, alifunga ndoa na binti jirani pale mkoani mwaka 2022. Kiufupi jamaa alikuwa anajimudu kiuchumi, Lakin gafla baada ya ndoa yao mambo yalienda kombo.
Jamaa aliepoteza karibu Kila kitu wakawa chakarii. Mwaka Jana mwezi wa tisa aliamua kumrudisha mkewe kwao ili ajipange upya kitu ambacho mkewe hakukubaliana nacho, hata mimi binafsi sikukubaliana nacho.mwisho mkewe alirudi kwao na Waka endelea kuwasiliana kama Kawa.
Mwaka mmoja ukapita mke akiwa kwao na hakuna dalili za kurudi kwa mumewe, ndugu zake mke wakahoji na kuchukizwa na hali Ile ikapelekea migogoro isiyoisha Kati ya pande mbili (kwa mke na mume). Mambo alikuwa ni mengi mno mpaka kufika kupeana kashfa za uchawi.
Jamaa aliamini kuwa Kuna mchezo kachezewa na watu ili kumshusha kiuchumi, hivyo akaanza kuhangaika kwa waganga kutafuta tuba. Huku mke akionyesha dalili za kukata tamaa ya ndoa siku baada ya siku.
Kufupisha stori, nikwamba ilifikia hatua wazazi wa mke walimchukia sana jamaa wakawa hawamtski kabisa, Sasa wa kaamua kumuamuru binti yao narudi kwa mumewe na kama mumewe atamfukuza basi ampe talaka ndio binti arejee kwao(hii ilikuwa target ili mwamba ajichanganye apokonywe mke). Na ilifanyikia sababu mke aliporudi kwa mumewe alimkuta mumewe yupo kwenye tiba za kienyeji ambazo kwa mujibu wa jamaa aliambiwa masharti yakutoshiriki tendo La ndoa na mwanamke yeyote kwa Muda wa zaidi ya mwezi.
Sasa mke aliporejea migogoro ikanzia hapo, mume yupo ktk tiba na ni ngumu kuishi pamoja na mkewe Bila kumuingilia, mke nae kishachoka kukaa kwao. Hatimae ugomvi ukazuka kwa siku tatu na mke akamwambia jamaa hawezi kurudi kwao Bila talaka. Mume kwa hasira kaandika talaka moja ambayo kwa waislam haina nguvu ya kuwaachanisha Ila inamfanya mke arudi kwao kwa Muda.
Mke alivyopewa talaka akarudi kwao, jamaa nae aka endelea na tiba. Sasa utata ulianza Tema pale mume alipotaka kumrejea mkewe, mke akishirikiana na wazazi wake na baadhi ya ndugu alikuwa tayari wameshajipanga kuvunja ndoa na isinhewezekana Tena ndoa kurejea.
Jamaa alitumia mbinu zoote za kivita na kiushawishi ikiwa ni pa1 na kuwashirikisha masheikh woote, ndugu, jamaa na marafiki kumshawishi mkewe arejee nyumbani lakini ilishindikana.Jamaa aliyumba sana kwa stress kiasi cha kufika kuwa mlevi.Jamaa alikonda kwa mawazo na kupoteza nuru!!
Mara tetesi zikaanza kusikia kuwa mke wa jamaa anamahusiano na mtu wake wa zamani, na Kuna uwezekano wakafunga ndoa soon. Jamaa alifdhaika mnooo na akakubali Ana na matokeo aka move on!! Ikimbukwe kuwa hakua nikiwa kupata mtoto bado!!
Sasa kilichonifanya nije hapa kwenu ni hiki hapa, juzi jamaa yangu kapigiwa simu na Dada wa mkewe ambae hauishi Tanzania na kujifanya alikuwa hajui chochote kuhusu migogoro ulikuwa Kati ya mdogo wake na jamaa!! Akamsihi jamaa arejee mkewe, jamaa akashangaa na kumuumiza imekuwaje yeye ndio aambiwe amrejee mkewe wakati mkewe ndie alikataa kurejea licha ya masheikh na watu wazima kumbembeleza lakini aligoma? Imekuwaje ndani ya miezi mitatu mkewe aamue kurejea kwa jamaa kirahisi hivyo? Kuna nini? Je hapa Kuna mchezo unachezwa dhidi ya jamaa au Kuna nini? Jamaa yupo njia panda na hajui afanye je licha ya kwamba jamaa bado anampenda mkewe!!
Ushauri wenu jamani kwa hii scenario!!