Ni maamuzi yapi anatakiwa Kuya fanya Kati ya kumuacha moja kwa moja au kurudiana nae Tena?

Tueleze kwanza pesa zimerudi au unaendeleza tu ushirikina
Kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba milango ya riziki imefunguka Tena, maana kazi na michongo ya pesa imerudi ktk mfumo
 
Kuchoma cheti cha kuzaliwa.
 
Kwa mujibu wa maelezo yake na ninavyomuona ni kwamba mambo yake tayari yanaelekea kuwa vizuri kama awali, maana kazi napata kama zamani
Hongera zako kwa kupata kazi. Twenzetu butiama.
 
Labda kama ana mimba yake kidogo anaweza kufikiria. Lakini kama ulipambana arudi akakataa. Talaka alitaka mwenyewe.
Dunia pana sana, apige chini mazima, acheki mwanamke mwingine.

Hao wakwe zake ni wabaya, yani wanadiriki ku engineer mke akukatae...halafu atoe msamaha.Next time wanaweza engineer auwawe.

Asiumize mtu hisia awajibu tu kuwa yeye alishachukua mwelekeo mwingine, alishapona moyo.

Ila kama anampenda sana anaweza ku take risk
 
Kumpenda sana ndiyo kufanyaje mkuu?

Umetoa ushauri konki halafu unakuja kuuharibu mwishoni why?

Mwanamke mwingine ukimuoa au kulala naye, mikosi inakuandama hadi umauti.

Kwa maelezo yake, huyo mwanamke hafai hata kwa kulumangila.

Kizungumkuti na figisu zilivyotokea namna hiyo, aelewe Mungu kamwepusha ashukuru.

Mambo ya kuwaza namna alivyokuwa akigewa penzi la kitandani kisha amrudie kwa tamaa hiyo ya kupandilia tuta, anatafuta kifo wazike.
 
Na wewe mjumbe uliyeleta hiki kisa tukijadili bila kuonesha mchango wako wowote wa kimawazo ulioutoa kwa jamaa yako, inapelekea kisa hiki kionekane kama ni riwaya, ama mhusika mkuu ni wewe mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…