Ni madhara gani anayapata mwanaume mwenye korodani moja

Ni madhara gani anayapata mwanaume mwenye korodani moja

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,342
Reaction score
3,885
Wanajf naomba kuuliza hivi eti ni madhara gani anakumbana nayo mwanaume mwenye korodani moja na kama yapo madhara nini hasa tiba yake
 
Uzalishaji wa mbegu zitakuwa ndogo zaidi ya hapo hamna. Na kama. Tati ni kwamba hio korodani haijashuka inaweza kushushwa na madakari.
 
mbona siajawahi kuona..hipo?mbona sisi wanaume tunamatatizo sana?
 
Uzalishaji wa mbegu zitakuwa ndogo zaidi ya hapo hamna. Na kama. Tati ni kwamba hio korodani haijashuka inaweza kushushwa na madakari.

Na je labda huwa inahitaji operation au?
 
Back
Top Bottom