nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,342 Reaction score 3,885 Jan 22, 2012 #1 Wanajf naomba kuuliza hivi eti ni madhara gani anakumbana nayo mwanaume mwenye korodani moja na kama yapo madhara nini hasa tiba yake
Wanajf naomba kuuliza hivi eti ni madhara gani anakumbana nayo mwanaume mwenye korodani moja na kama yapo madhara nini hasa tiba yake
jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,983 Reaction score 1,423 Jan 22, 2012 #2 hata sijui korodani ndiyo nini..
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,205 Jan 22, 2012 #3 Uzalishaji wa mbegu zitakuwa ndogo zaidi ya hapo hamna. Na kama. Tati ni kwamba hio korodani haijashuka inaweza kushushwa na madakari.
Uzalishaji wa mbegu zitakuwa ndogo zaidi ya hapo hamna. Na kama. Tati ni kwamba hio korodani haijashuka inaweza kushushwa na madakari.
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,922 Reaction score 1,149 Jan 22, 2012 #4 jamii01 said: hata sijui korodani ndiyo nini.. Click to expand... Korodani=pumbu.
jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,983 Reaction score 1,423 Jan 22, 2012 #5 mbona siajawahi kuona..hipo?mbona sisi wanaume tunamatatizo sana?
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,342 Reaction score 3,885 Jan 22, 2012 Thread starter #6 Arsene Wenger said: Uzalishaji wa mbegu zitakuwa ndogo zaidi ya hapo hamna. Na kama. Tati ni kwamba hio korodani haijashuka inaweza kushushwa na madakari. Click to expand... Na je labda huwa inahitaji operation au?
Arsene Wenger said: Uzalishaji wa mbegu zitakuwa ndogo zaidi ya hapo hamna. Na kama. Tati ni kwamba hio korodani haijashuka inaweza kushushwa na madakari. Click to expand... Na je labda huwa inahitaji operation au?