Mdogo wangu alindondoka (kwa bahati mbaya) kwenye mti,ikaonekana ameumia bega, tukaenda hospital kubwa hapa mkoani,madaktari wakasema lazma wafanye x rays na leo tunatazamia afanyiwe,je kuna madhara gani kufanyiwa mionzi hii?
Hakuna madhara yoyote,Medical imaging za siku hizi zinatoa dose ya mionzi ambayo haina madhara kwenye mwili otherwise afanye mara nyingi kama ilivyo dawa tu tunazo meza yaani ukinywa kwa muda mrefu zitakuletea madhara.