Ni madhara gani unapata mtu unapojambiwa?

Ni madhara gani unapata mtu unapojambiwa?

Huyu dogo bonge ni roommate wangu chuo kimoja hapa Tanganyika.

Mshikaji anajamba usiku kucha halafu mwenyewe wala hata ajui anajamba usingizini sina raha hata ya kuishi nae.

Kanikela vibaya sijui nawaza nimchane hii tabia yake inanikera kishenzi.
Tumbo lake lina gesi sana. Mshauri atumie vidonge vya aluminium au atafune vitungu swaumu.
 
Back
Top Bottom