Ni maduka gani kwa hapa Dsr es Salaam wanauza viatu vya mtumba vya kueleweka

Ni maduka gani kwa hapa Dsr es Salaam wanauza viatu vya mtumba vya kueleweka

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,968
Nina mshikaji wangu kaniulizia atapata wapi maduka hapa Dar wanauza viatu classic vya mtumba.

Nimeona niulizie humu kwa wenyeji mnaweza kunisaidia nikamuelekeza mshikaji.

Ahsante.
 
Be specific!hiyo mshikaji wako anahitaji bidhaa gani hasa?
 
Viatu vya kiume vina bei esp vya wanaume. Yupo tayari kuspend ?
 
Back
Top Bottom