Ni maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida?

Ni maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida?

Nyie,kumbe Kuna rangi za kupaka nguo ionekane mpya na hamsemi jamani😂

Mi najuaga nguo ikishapauka au kuchanika unaachana nayo na kununua nyingine kumbe Kuna rangi za kupaka eti
Uko nyuma sana ndugu alafu usije kufahamu ni mambo ya juzi hapana mwaka 2003 niliona Tanga huko inaitwa " kuchovy" ukitia kijinsi chako mpauko kikitoka hapo ni balaaa
 
Kabisa dada yangu, suruali zangu nyingi zimepauka na ukizingatia miezi kadhaa tu zimepauka
nguo kupauka mapema ni sababu tunafulia maji ya chumvi na sabuni ya unga plus kuanika kwenye jua kali hapo ni mpauko wa hatari..mimi nguo za rangi nafulia kwa kutumia maji ninayokunywa na sabuni ya unga ni ile ya kupakaza tu kwenye nguo sio ile kujaza mapovu mengi na pia sikamui nguo za rangi mwisho ninaanika kivulini au nafua usiku baada ya jua kuzama..staili hii imefanya nguo zangu za rangi ziendelee kung'aa na kuonekana mpya hata mwaka mzima
 
Kuna watu wataponda hapa weee ila ukweli unabaki pale pale hali ngumu sana sanaa jamani , mpaka mtu anaomba ushauri huo mnafikiri hajui panapouzwa mitumba au nguo mpya? Aisee mkuu utapata bhana na jinsi zako zitang'aa upyaa na sio rangi tu hadi kipafyum cha upya upya kipo
Shida sio pesa shida ni mahaba ya dhati kwa nguo yako kuna nguo unaweza inunua afu ukajikuta umeipenda sana
 
Wakuu kwema?

Naomba kujua, Ni Maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida?

Dawa hizi kama sikosei zinalowekwa kwenye nguo kisha zinarudi katika hali yake.

Ni hayo tu wakuu. Ahsanteni

Nguo haipigwi rangi wewe, nunua nguo mpya...

Nakumbuka miaka ya zamani nikiishi chuga, tulikuwa tunapeleka jeans kwa jamaa wanazichemsha sijui kwenye rangi gani ile, suruali ikitoka hapo inakuwa kama imemwagiwa wino hivi...
 
Mnaomkebehi mtoa mada, mtasema mna hata hizo nguo nyingi mpya. Kumbe kauka nikuvae tu.

Mwingine kachanganya nguo wakati wa kufua, zimeingiliana rangi. Kaka tafuta wale wanaotengeneza batiki, wanaweza kukusaidia maduka wanayonunulia rangi.
😂😂😂unanisema aisee
 
Back
Top Bottom