Wakuuu Habari za leo i hope mko poa baada ya Salam najielekeza kweny mada
Rekebisha, Tanzania hatutumii neno sorry labda kwenye Bongo muvi. No, tomorrow, wait, next week.Wakuuu Habari za leo i hope mko poa baada ya Salam najielekeza kweny mada
Eti ni maneno gani mengine ya kiingereza ambayo wa intu wanapenda kuyatumia sana ktk maongezi yao mbalimbali iwe Ofisini au kijiweni au popote ukiacha hata "Maybe,sorry na my" karibuni mtiririke labda kuna watu watapata maneno mapya kutoka kwenu hapa.
(Pambana na hali yako) ..# Kwetu Mwanza Nyegezi#