Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenikumbusha kuna mchizi wetu moja hv kitaani alienda south (SA) bada ya kurud akawa anapenda sana kusema obviouslyYeah, Nice, You know, obviously, like, imagine, Kubwa zaidi 'I love you'[emoji23]
Okay thanks, i love you too.Yeah, Nice, You know, obviously, like, imagine, Kubwa zaidi 'I love you'😂
😂😂😂😂 ya Leo umevuta mbichi Charlie. !!Okay thanks, i love you too.
hayo pia wanatumia sana
Sio mbichi, imekauka ila ni kushabu😂😂😂😂 ya Leo umevuta mbichi Charlie. !!
Niwaache tu maana lugha unataka nipeleka nayo naweza toka bila bila..!!Sio mbichi, imekauka ila ni kushabu
Kama yule wa "still bado"[emoji23] [emoji23]Kuna raia husema "if kama" sijui huwa wana maanisha nini hasa,..
Hivi iyo obviously ina maana ganiumenikumbusha kuna mchizi wetu moja hv kitaani alienda south (SA) bada ya kurud akawa anapenda sana kusema obviously
Sent using Jamii Forums mobile app